Wednesday, July 11, 2018

MHASIBU MKUU BODI YA PAMBA AFIKISHWA MAHAKAMANI

NEWZ: Mhasibu Mkuu Bodi ya Pamba Tanzania anayefahamika kwa jina la Simon Maganga amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na makosa 6 ambapo likiwemo kosa la Uhujumu Uchumi na kuisababishia Serikali hasara ya shilingi Milioni 55.6, Lakini kesi hiyo imearishwa hadi hapo Julai 24 mwaka huu.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: