Tuesday, July 31, 2018

Mchungaji ajiua baada ya kuona picha za Mke wake akichumbiwa

Mchungaji Abel Ayinza Raia wa Uganda ambaye anafanyia kazi zake nchini Marekani amejiua mara baada ya kuona picha za Mke wake aliyemuacha mwezi mmoja uliopita nchini Uganda akiwa anachumbiwa na Mwanaume mwingine nchini humo.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: