Thursday, July 26, 2018

MBAO FC YAZIDI KUJIIMARISHA

Timu ya Mbao Fc imefanikiwa kumsajili Hamim Abdul Karim,Beki wa Kushoto kutoka Azam FC  kwa mkopo wa Mwaka mmoja.

Abdul Karim Amewahi pia kuchezea  timu za Toto Africans, Geita gold SC,CDA Dodoma, Pamba FC na Azam FC.

Ikiwa yamebaki masaa machache usajili Nchini ufungwee, MBAO FC wamezidi kujiimarisha ili kuleta ushindani katika Ligi Kuu Tanzani.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: