Wednesday, July 25, 2018

MARTIAL AIFUNGUKIA BODI YA MANCHESTER UNITED

Mshambuliaji wa klabu ya Manchester United Anthony Martial ameiambia bodi ya Club hiyo kuwa anataka kubaki nchini Uingereza na kuitumikia Club nyingine.

Martial amekuwa akihusishwa kutaka kuikacha United lakini Club yake imekuwa ikitilia ngumu kwa mshambuliaji huyo.

Kumbuka mpaka sasa vilabu viwili vya Uingereza vya Chelesea na Totnham vipo katika mbio za kumfukuzia mshambuliaji huyo, wakati Mourinho akitaka kumuuza nyota huyo nje na Uingereza.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: