Friday, July 27, 2018

Manchester United yazidi kumfukuzia Ivan Perisic

Klabu ya Manchester United imeendelea kuwa na matumaini ya kusaini mkataba na winga wa Inter Milan Ivan Perisic mwenye umri wa miaka 29.

Manchester inaamini kuwa endapo itafanikiwa kumpata winga huyo basi itamuuza mshambuliaji wake wa Ufaransa Anthony Martial mwenye umri wa miaka 22 ambaye amekuwa akihusishwa kuondoka klabuni hapo.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: