Wednesday, July 11, 2018

MANCHESTER CITY YAFANYA KUFURU KWA MAHREZ

Miamba ya Uingereza ambao ni mabigwa wa ligi kuu ya nchini Engalnd, Manchester City wamefanikiwa kumnasa mchezaji Riyad Mahrez kwa dau la pauni milion 60 kutokea katika klabu ya Leicester City.

Riyad Mahrez anaweka rekodi ya kuwa mchezaji ghali zaidi katika historia ya Manchester City na kufuta rekodi iliyokwa na beki wa Ufaransa, Aymeric Laporte aliyetua kwa pauni milioni 57.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: