Wednesday, July 25, 2018

MANCHESTER, CHELSEA KUMUANIA THIAGO ALCANTARA

Klabu ya Manchester United na Chelsea kwa pamoja zimewasilisha ombi la kutaka kumsajili kiungo wa kati anayekipiga katika klabu ya Bayern Munich na timu ya Taifa ya Hispania, Thiago Alcantara mwenye umri wa miaka 27 anapatikana kwa dau la euro 62m.

Manchester United pia inataka kuwasaini wachezaji mbadala wa winga wa Chelsea na timu ya Taifa ya Brazil Willian kupitia kwa winga wa timu ya Croatia na Eintracht Frankfurt Ante Rebic mwenye miaka 24.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: