Tuesday, July 17, 2018

MANCHESTER UNITED MBIONI KUMKOSA GARETH BALE

Klabu ya Manchester United huenda wakakosa kumsaini mshambuliaji wa Real Madrid Gareth Bale mwenye umri wa miaka 29 ambaye kwa sasa huenda akawa kwenye mipango ya Meneja mpya wa Real Madrid Julen Lopetegui.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: