Monday, July 16, 2018

MAMLAKA YA MAPATO (TRA) YAFANIKIWA KUKUSANYA KIASI CHA TRIONI 15.5

Mamlaka ya mapato TRA Tanzania imefanikiwa kukusanya kiasi cha Shilingi Trioni 15.5 katika mwaka wa fedha 2017/18 ambapo makusanyo hayo nikuanzia Julai 2017 hadi Juni 2018 sawa na ukuaji wa asilimia 7.5, kuzidi kueleweka kwa elimu hiyo ya kodi kwa wananchi wakati kampeni ya kusajili wateja wapya ikitajwa kama chanzo.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: