Wednesday, July 11, 2018

LIVERPOOL KUMNG'OA SHAQIRI STOKE CITY

Tetesi za soka kuhusu usajili Barani Ulaya zinasema kuwa Klabu ya Liverpool ya England wako kwenye mazungumzo na mabosi wa Stoke City kwa ajili ya kuipata saini ya Winga wa timu ya Taifa ya Uswisi, Xherdan Shaqiri ambaye anakipiga katika klbu hiyo ya Stoke City ya England.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: