Wednesday, July 11, 2018

KLABU YA ARSENAL YANASA MASHINE MPYA

Klabu ya Arsenal ya nchini Uingereza imekamilisha usajili wa Kiungo wa Sampdoria anayefahamika kwa jina la Lucas Torreira.

Klabu ya Arsenal ambayo ipo chini ya Kocha wao mpya Unai Emery bado inaendelea kufanya usajili kwa ajili kujiweka sawa na msimu mpya wa Ligi hiyo ya England.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: