Tuesday, July 17, 2018

IGP ANIAMBIE KAMA POLISI WAMESALIMU AMRI KWA MAJAMBAZI - WAZIRI LUGOLA

Waziri Kangi Lugola ameinuka na kutoa tamko kwa IGP kuweka wazi kama Polisi wameshindwa kupambana na kuhakikisha nchi inakuwa katika hali ya usalama.

"Nataka IGP aje aniambie kama Polisi wamesalimu amri kwa majambazi ndiyo maana mabasi hayatembei usiku, biashara saa 12 zinafungwa, ukiuliza unaambiwa sababu ya usalama. IGP aniambie kama majambazi ndio wanatupangia pakwenda na wapi tusiende" amesema Waziri Lugola.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: