Monday, July 16, 2018

HUKUMU YA WEMA SEPETU KUSOMWA JULAI 20,2018

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Ijumaa ya wiku hii Julai 20, 2018 kutoa hukumu ya kesi ya madawa ya kulevya inayomkabiri mwana dada Wema Sepetu na wafanya kazi wake wawili.

Hukumu hiyo ilitakiwa kusomwa siku ya leo lakini imesogezwa mbele hadi Julai 20,2018 kutokana na hakimu anayesikiliza kesi hiyo kutokamilisha kuandika hukumu hiyo.

Maamuzi hayo yametolewa leo Julai 20 na Hakimu Mkuu wa Mahakama hiyo anayekwenda kwa jina la Thomas Simba.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: