Monday, July 9, 2018

HARRY KANE AWEKA WAZI SABABU ZA TIMU YA UINGEREZA KUFANYA VIZURI KOMBE LA DUNIA

Mchezaji nyota wa timu ya Taifa ya England Harry Kane amefunguka na kusema kuwa kufanya vizuri kwa timu yao ya Taifa kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi kunachochewa na hadithi wanazosimuliwa kuhusu timu hiyo iliyofanikiwa kutwaa Kombe la Dunia mwaka 1966.

Timu ya Taifa ya Uingereza imefanikiwa kutwaa Kombe hilo la Dunia mara moja ambapo walitwaa ubingwa huo mwaka 1966, na mpaka sasa awajafanikiwa kutwaa ubingwaa huo.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: