Monday, July 9, 2018

ENRQUE KUINOA TIMU YA TAIFA YA HISPANIA

Kocha wa zamani wa klabu ya Barcelona ambaye pia amewahi kuwa nahodha wa timu ya Taifa ya Hispania, Luis Enrque ametangazwa rasmi kuwa kocha wa timu ya Taifa ya Hispania huku akipewa mkataba wa miaka miwili.

Luis Enrque anachukuwa nafasi ya Fernando Hierro ambaye amejiuzulu baada ya kufanya vibaya katika michuano ya Kombe la Dunia huko Urusi.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: