Friday, July 20, 2018

DKT.NDUGULILE AUGIZA UONGOZI WA MKOA WA MWANZA KUHAKIKISHA 80% YA VITUO VYA AFYA HAVISHUKI CHINI YA NYOTA 3.Na WAMJW – UKEREWE, MWANZA

Serikali kupitia Wizara ya Afya imeuagiza uongozi wa Mkoa wa Mwanza kuhakikisha kwamba vituo vyote vya Afya vya Serikali na vya binafsi hazishuki chini ya nyota 3, hii ikiwa moja ya jitihadaza kuboresha hali ya utoaji wa huduma Afya nchini.

Hayo yamesemwana Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.Faustine Ndugulile wakati akiwa katika ziara yake ya kukagua hali ya utoaji huduma katika Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa Mwanza.


SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: