Monday, July 16, 2018

CHELSEA NA MANCHESTER UNITED ZAPIGANA VIKUMBO

Klabu ya Chelsea imeanza kumfukuzia mchezaji ambaye ni kiungo cha kati wa Lazio, Sergeji Milinkovic msimu huu wa joto.

Mchezaji huyu mwenye umri wa miaka 23 anahusishwa na uhamisho wa kwenda katika klabu ya Manchester United msimu huu.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: