Thursday, July 26, 2018

CAVAN KUCHUKUA NAFASI YA CRISTIANO RONALDO

Klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania imeripotiwa kuwa huwenda ikawasilisha dau la euro 89 milioni katika klabu ya PSG kwa ajili ya kumnunua mshambuliaji wao Edison Cavan mwenye umri wa miaka 31.

Madrid wanamtaka mshambuliaji huyo kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Cristiano Ronaldo ambaye ametimkia klabu ya Juventus.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: