Friday, July 27, 2018

Cannavaro atangazwa kuwa Meneja wa klabu ya Yanga SC

Nahodha wa muda mrefu wa klabu ya Yanga SC, Nadir Haroub Ali Cannavaro amestafu kucheza soka na kuteuliwa kuwa Meneja wa timu hiyo akichukua mikoba ya Hafidh Saleh ambaye sasa anakuwa Mratibu wa klabu hiyo.

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Yanga Hussein Nyika amesema kwamba baada ya mchango mkubwa na wamuda mrefu kama mchezaji, Cannavaro sasa anahamia kwenye benchi la Ufundi.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: