Monday, July 23, 2018

MAHAKAMA KUU TANZANIA IMEWAHUKUMU KUNYONGWA WASTAKIWA WATANO

BREAKING NEWS:

Mahakama Kuu ya Tanzania imewahukumu kunyongwa hadi kufa washtakiwa watano (5) ambao ni Sharifu Mohamed, Mussa Mangu, Karim Kuhundwa, Sadick, Mohamed pamoja na Ally Mussa, hii ni baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kumuua kwa makusudi aliyekuwa mfanyabiashara wa Madini Mkoani Arusha na Mirereni, Ndugu Erasto Msuya.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: