Monday, July 23, 2018

BARCELONA KUMFUKUZIA WILLIAN, UNITED WAMNYAPIA KIMYA KIMYA

Klabu ya Chelsea wanafikiria iwapo watakubali kmuuza kiungo wao wa kati Mbrazili Willian kwa dau la( Euro 65m) kwa klabu ya Barcelona, huku ikisemekana kuwa Manchester United pia wanamtaka sana kiungo huyo mwenye umri wa miaka 29.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: