Wednesday, July 11, 2018

AZAM FC YATINGA FAINALI KOMBE LA KAGAME CUP

Klabu ya Azam FC imefanikiwa kingia Fainali ya michuano ya CECAFA KAGAME CUP baada ya kuilaza timu ya Gor Mahia ya Kenya mabao 2-0.

Mchezo huo wa nusu fainali ya kwanza ambao umepigwa dakika 120 huku Azam wakifanikiwa kufunga mabao yao katika dakika ya 92 na 100 na kuwaacha wachezaji wa timu ya Gor Mahia wasijue lakufanya.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: