Monday, July 9, 2018

AZAM FC YAFANIKIWA KUTINGA HATUA YA NUSU FAINALI YA CECAFA KAGAME CUP

Timu ya Azam FC imefanikiwa kuibuka kifua mbele kwa kuichabanga bao 4 - 2 timu ya Rayano katika Robo fainali ya Cecafa Kagame CUP, Wakati Mchezaji wa Azam Shaban Idd akifanikiwa kutupia bao nne peke yake na kuifanya Azam kuibuka na ushindi mnono.

Kwa ushindi huo wa Azam unawafanya kutinga hatua ya nusu fainali ambapo watakutana na timu ya Gor Mahia ya Kenya.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: