Monday, July 9, 2018

ARSENAL KUMNASA KIUNGO HATARI WA URUGUAY NDANI YA SAA 48

Kiungo wa Sampdoria ambaye pia ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Uruguay Lucas Torreira yupo njiani kuelekea Jijini London kwaajili ya kwenda kufanyiwa vipimo vya afya ili kukamilisha dili la kutua Arsenal saa 48 kuanzia sasa.

Inafahamika kuwa dharama za mchezaji huyo ni pauni Milioni 26 bila ya kiasi cha fedha binafsi huku ikionekana swala hilo si tatizo kwa klabu ya Arsenal.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: