Tuesday, July 17, 2018

AJALI NYINGINE TENA YATOKEA MBEYA, YASABABISHA VIFO NA WENGINE KUNUSURIKA

Mkoa wa Mbeya wakubwa na balaa lingine tena, katika mkoa wa Mbeya zimetokea ajali za mfululizo na kupelekea viongozi wa dini kufanya Maombi yakuombea kupunguza ajali za barabarani mkoani humo.

Usiku wa kuamkia leo gari aina ya Land Cruiser limegongana na Bajaji na kusababisha vifo vya watu watatu kwenye eneo la Kadege ambapo katika usiku huohuo gari aina ya Toyata Haice imewaka moto ikiwa barabarani katika eneo la Mbembela ambapo dereva na kondakta wamenusurika.


SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: