Tuesday, June 5, 2018

ZARI THE BOSSLADY AITEKA EAST AFRICA


Mambo ni motooo, baada ya kuonekana kwenye video ya wimbo mpya wa Iyena wa Diamond ambao umezua gumzo kubwa, Zari The Bosslady anazidi kung'ara na wala ashikiki tena.

Zari sasa ataonekana tena kwenye jarida la True Love East Africa ambapo amezungumzia mambo mengi yakiwemo yanayohusu maisha yake.

Mrembo huyo ambaye kwenye cover la jarida ametoka na muonekano mpya unaomuonyesha kama Malkia.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: