Tuesday, June 5, 2018

WAZIRI MKUU AACHIA MADARAKA

Waziri Mkuu wa Jordan, Hani Mulki amejiuzulu baada ya maandamano ya wanachi siku kadhaa kumtaka aondoke.

Hata hivyo waandamaji hao wamesema kuwa wataendelea na maandamano mpaka pale sera za kubana matumizi na nyongeza ya kodi ya mapato zilizoongezwa na serikali zitakapofutwa.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: