Tuesday, June 5, 2018

VILLARREAL YAMNASA SANTI CAZORLA

Baada ya kuondoka katika klabu ya Arsenal Santi Cazorla amerejea katika timiu yake ya zamani ya Villarreal ambapo.

Kiungo huyo aliondoka Arsenal baada ya msimu kumalizika ambapo katika msimu wa 2017/18 Cazorla alikuwa na majeruhi wa mda mrefu hivyo hakuwa na muda mzuri wakuanza katika kikosi hicho cha washika mitutu wa London.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: