Thursday, June 7, 2018

TIMU YA TAIFA YA TANZANIA YAZIDI KUPOTEA KATIKA VIWANGO VYA SOKA

Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars imeshuka kwa nafasi 3 katika viwango vya soka duniani, taarifa hii imetolewa na Shirikisho la chama cha Soka duniani (FIFA), ambapo imeshuka kutoka nafasi ya 137 hadi nafasi ya 140.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: