Thursday, June 7, 2018

TANZIA: MSANII SAM WA UKWELI AMEFARIKI DUNIA

Msanii wa Bongo Fleva nchini ambaye alitamba sana na wimbo wake 'Hata kwetu wapo' Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa leo, baada ya kuuguwa kwa muda mrefu na tayari mwili wake umehifadhiwa katika hospitali ya Mwananyamala.

              R.I.P SAM WA UKWELI.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: