Sunday, June 10, 2018

STAA KUTOKA RAP CITY MWANZA PIDDE MONTANA AAMUA KUFANYA KWELI, AACHIA BONGE LA CHUPA.

Anajulikana kama POLYCAP DANIEL kisanaa akifahamika kama Pidde Montanah mwanzo kabisa nilianza kuachia  wimbo wa kwanza nilifanya na Coyo MC (natafuta Kiki) Wimbo wa pili Omba selfie ambao nilimshirikisha Kaynatha na wa tatu ni huu Sina Time ft Honeya 

Pamoja na ufanisi huo lakini zipo Changamoto katika Muziki wangu  maana nafanya mwenyewe nakosa waongozaji yaani Management ya kusogeza zaidi kazi zangu,  ingawaje nimefikia hatua nzuri maana nilipotoka na hapa nilipo si sawa naamini kila wimbo unasogea zaidi ya wimbo uliopita.  

Aidha najivunia muziki wangu kwanza kufanyia Mwanza maana sapoti ya wadau wa Muziki ni kubwa pia muziki umenifanya niheshimike na umenipatia connection kubwa sana tofauti na watu wanafikiria.

Wimbo wa Pidde Montana akimshirikisha Honeya uko hapo chini utazame na usisahu kusubscribe.SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: