Thursday, June 7, 2018

SIMBA SC YATINGA FAINALI KOMBE LA SPORTPESA SUPER CUP 2018.

Klabu ya soka nchini Simba SC imetinga fainali ya michuano ya SportPesa baada ya kuitafuna timu ya Kakamega Homeboys kwa mikwaju ya penati 5-4, baada ya dakika 90 kumalizika 0-0.

Simba sasa itamsubiri mshindi wa leo kati ya Gor mahia ya kenya na Singida United.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: