Thursday, June 7, 2018

RONALDO KUITOSA REAL MADRID

Nyota wa Real Madrid Cristiano Ronaldo huenda akaondoka wakati huu wa majira ya joto baada ya Rais wa Madrid Florention Perez kuvunja ahadi yake aliyokuwa ameiweka kwa nyota huyo.

Rais Perez alimuahidi nyota huyo atakuwa mchezaji anayelipwa zaidi Barani Ulaya baada ya ushindi katika fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya mwaka 2017 dhidi ya Juventus lakini mpaka sasa hakuna ofa yoyote aliyoletewa.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: