Monday, June 11, 2018

RAIA MMOJA AMZIKA BABA YAKE NA GARI BADALA YA JENEZA

Wakati napita pita katika mtandao wa kijamii nimekutana na hii picha ambayo imesambaa kwa wingi sanaa Facebook.

Inadaiwa kuwa Raia mmoja wa nchi ya Nigeria aitwaye Azubuike kumzika Baba yake na gari aina ya BMW badala ya Jeneza, huku ikiripotiwa thamani ya gari hilo ni kiasi cha Tsh. Milioni 200.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: