Monday, June 4, 2018

NDUGU WA MASOGANGE WAZUIA FILAMU ISITOKE

Baada ya cover ya movie mpya aliyokuwa ameigiza Marehemu Agness Masogange kuanza kusambazwa, ndu wa Agness wameinuka na kuweka kigingi cha kutokutolewa filamu hiyo mpaka wakae mezani ili waweze kujua haki ya ndugu yao iko wapi.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: