Thursday, June 7, 2018

NDEGE ILIYOPOTEA YAPATIKANA HUKU WATU 10 WAKIFARIKI

Ndege iliyoripotiwa kupotea Jumanne nchini Kenya imepatikana katika msitu wa Ababea huku watu 10 wakiwa wamefariki.

Mwenyekiti wa kampuni ya ndege hiyo Charles Wako ameutangazia Umma muda mchache uliopita, nakusema kuwa watu 10 wliokuwa katika ndege hiyo ndogo wamefariki dunia.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: