Thursday, June 7, 2018

MWANAJESHI MMOJA AUWAWA HUKO JAMHURI YA AFRIKA YA KATI

Mwanajeshi wa mmoja wa Tanzania ameuawa na wengine 18 wamejeruhiwa na kundi kubwa la waasi linalojulikana kama Siriri pindi walipokuwa wkilinda amani huko Jamhuri ya Afrika ya kati.

Hata hivyo Mkurugenzi wa habari na Uhusiano Jeshini, Kanali Ramadhani Dagoli ameeleza kuwa hali ya askari 5 kati ya 18 sio nzuri kabisa.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: