Sunday, June 10, 2018

MWANACHAMA MMOJA WA YANGA SC ATOLEWA NJE YA UKUMBI KUSHIRIKI MKUTANO WA LEO.

Mwanachama wa Kawaida wa Klabu ya Yanga aitwaye JITU ametolewa nje ya Ukumbi ambapo mkutano wa Yanga unafanyika baada ya kusemekana amekuwa akijihusisha na kuitukana klabu kwenye maeneo mbalimbali ikwemo mitandaoni. 

JITU pamoja na MZEE AKILIMALI wamepigwa stop kushiriki mkutano huo ambao unaendelea kufanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Polisi Osterbay Masaki Dar leo kuanzia saa nne asubuhi.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: