Thursday, June 7, 2018

MWAMUZI MWAAFRIKA AONDOLEWA KOMBE LA DUNIA

Mkenya wakwanza kuteuliwa na FIFA kuchezesha michuano ya Kombe la Dunia 2018, Aden Marwa ameondolewa katika nafasi hiyo.

Mwamuzi Marwa alipokea rushwa ya mtego kutoka kwa mwandishi wa habari za kichunguzi wa Ghana Anas Aremeyaw, kiasi cha Tsh Milioni 1.3.


SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: