Saturday, June 9, 2018

MKUTANO MKUU WA YANGA KUFANYIKA KESHO BWALO LA POLISI OSTERBAY DAR ES SALAAM.


Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Yanga yamekamilika kwa asilimia kubwa huku ikipanga kutoa mwaliko maalum kwa aliyekuwa Mwenyekiti wao wa zamani Yusuph Manji.
 
Hii inatokana na timu hiyo kusuasua na kutokutimiza malengo yake ya kuchukua ubingwa wa VPL 2018,  Mkutano huo utafanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Polisi Osterbay kuanzia saa 4 asubuhi ambapo wanachama halali yaliolipia kadi zao ndio watakaruhusiwa kushiriki tu na sio vinginevyo.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: