Saturday, June 9, 2018

MBAO FC UNDER 20 WAANZA VIZURI KWENYE UHAI CUP 2018.

Timu ya Mbao Fc Under 20 imeanza vizuri michauno ya UHAI CUP 2018 baada ya kuichapa timu ya Under 20 ya Mbeya City 
 kwa goli 1-0, katika mchezo uliochezwa leo jijini Dodoma.

Goli pekee la Mbao Fc Under 20 limefungwa na Mchezaji Aman Anur dakika ya pili katika mchezo huo.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: