Tuesday, June 5, 2018

KIUNGO MBRAZIL ATUA MANCHESTER UNITED


Manchester United wametangaza kukamilisha usajili wa nyota wa Kimataifa wa Brazil anayecheza nafasi ya kiungo Frederico Rodrigues de Paula Santos maarufu kama Fred ambaye ametokea katika Klabu ya Shakhtar Donestsk.

Manchester United ambayo iko chini ya kocha Mreno Jose Mourinho inajaribu kuimalisha eneo la kiungo baada ya Nemanja Matic kushindwa kuendana na Poul Pogba, Fred mwenye umri wa miaka 25 sasa atakipiga katika klabu hiyo ya Man United.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: