Friday, June 8, 2018

KIPINDI CHA MSASA WA WIKI KIMEKUJA KUMULIKA KILA KONA.


Kipindi cha MSASA WA WIKI ambacho kinasikika KWANEEMA FM RADIO 98.1 MWANZA kinakuja na NEW CHAPTER kimeongezewa uzito na sasa kinameanza kumulika KATA KWA KATA, JIMBO KWA JIMBO, VYAMA VYA SIASA, TAASISI, ASASI NA KAMPUNI MBALIMBALI...Kinasikika kila siku JUMAMOSI SAA 12 ASUBUHI HADI SAA 2 ASUBUHI.

MTANGAZAJI WAKE NI FABIAN FANUEL NA SUPA PRODUSA WAKE LUCY SANKA. NA JUMAMOSI TAREHE 9 JUNE TUTAKIMULIKA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA.

MAWASILIANO 0714 92 15 89

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: