Sunday, June 10, 2018

KIKOSI CHA TIMU YA SIMBA SC LEO DIDHI YA GOR MAHIA FAINALI YA SPORTPESA SUPER CUP 2018.

Hiki ndicho kikosi ambacho kitaiwakilisha SIMBA SC kwenye mechi ya Fainali ya Kombe la SPORTPESA SUPER CUP 2018 ambapo wataumana uso kwa macho didhi ya GOR MAHIA saa tisa alasiri. Mungu ibariki SIMBA Mungu ibariki Tanzania.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: