Thursday, June 7, 2018

GOR MAHIA KUCHEZA NA SIMBA SC FAINALI YA SUPER CUP

Klabu ya Gor Mahia wamefanikiwa kutinga fainali ya SportPesa Super Cup 2018 kwa kuilaza Singida United mabao 2-0.

Kwa matokeo hayo Gor Mahia itacheza na Simba SC katika fainali ya SportPesa Super Cup, Singida itakutana na Kakamega Homeboys katika mchezo wakutafuta mshindi wa tatu.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: