Monday, June 4, 2018

EMRE CAN KUJIUNGA NA KLABU YA JUVENTUS

Kiungo wa klabu ya Liverpool Emre Can rasmi amekubali dili la kujiunga na timu ya Juventus ya Italia kwa kandarasi ya miaka minne.

Kiungo huyo wa Kimataifa wa Ujerumani anatarajiwa kufanya vipimo vya afya mapema wiki hii huku akiondoka Liverpool baada ya mkataba wake kufikia tamati mwishoni mwa mwezi huu.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: