Tuesday, June 5, 2018

ARSENAL YAMNASA BEKI KUTOKA JUVENTUS

Klabu ya Arsenal ya England imefanikiwa kumsajili beki wa kulia wa Juventus Stephan Lichtsteiner mwenye umri wa miaka 34 kama mchezaji huru.

Huu ndio usajili wakwanza ambao ameufanya kocha mpya wa timu hiyo ya Arsenal Unai Emery.

SHARE THIS

Facebook Comment

0 comments: